• HABARI MPYA

  Jumapili, Januari 10, 2021

  AGGREY MORRIS AIPELEKA AZAM FC NUSU FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI, KUMEMYANA NA YANGA SC KESHO...SIMBA NA NAMUNGO

  BAO pekee la Nahodha na beki mkongwe, Aggrey Morris kwa penalti dakika ya 62 limeipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Malindi SC katika mchezo wa mwisho wa Kundi C Kombe la Mapinduzi usiku wa leo Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
  Kwa ushindi huo, Azam FC inamaliza kileleni mwa Kundi C na itamenyana na Yanga SC katika Nusu Fainali kesho hapo hapo Uwanja wa Amaan.
  Nusu Fainali nyingine itakayofanyika kesho pia itazikutanisha Simba SC na Namungo FC, vita ya wa Kimataifa kutoka Tanzania Bara pia.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AGGREY MORRIS AIPELEKA AZAM FC NUSU FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI, KUMEMYANA NA YANGA SC KESHO...SIMBA NA NAMUNGO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top