AZAM FC YACHOMOLEWA DAKIKA YA MWISHO KOMBE LA MAPINDUZI, SARE 1-1 NA MLANDEGE AMAAN
AZAM FC imelazimishwa sare ya 1-1 na Mlandege SC katika mchezo wa Kundi C Kombe la Mapinduzi usiku wa leo Uwanja w Amaan, Zanzibar. Mshambuliaji mpya Mkongo, Mpiana Monzinzi alianza kuifungia Azam FC dakika ya 32, kabla ya Rashid Mandawa kuisawazishia Mlandege dakika ya 89.
0 comments:
Post a Comment