TIMU ya Real Madrid wametupwa nje ya michuano ya Kombe la Mfalme Hispania baada ya kuchapwa 2-1 na wenyeji, Alcoyano ya Daraja la Pili (Segunda B) jana Uwanja wa Manispaa ya Campo El Collao.
Mabao ya Alcoyano yamefungwa na José Solbes dakika ya 80 na Juanan dakika ya 115 baada ya Éder Militão kuanza kuifungia Real dakika ya 45 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment