• HABARI MPYA

  Alhamisi, Januari 21, 2021

  MAN UNITED WAIPIGA FULHAM 2-1 NA KUREJEA KILELENI ENGLAND


  TIMU ya Manchester United imekwea kileleni mwa Ligi Kuu ya England baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya  Fulham usiku wa jana Uwanja wa Craven Cottage Jijini London.
  Fulham walitangulia kwa bao la Ademola Lookman dakika ya tano, kabla ya Edinson Cavani kuisawazishia Manchester United dakika ya 21 na Paul Pogba kufunga la ushindi dakika ya 65.
  Kwa ushindi huo Manchester United inafikisha pointi 40 baada ya kucheza mechi 19, wakiizidi ponti mbili Manchester City ambayo hata hivyo ina mechi moja mkononi
   


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN UNITED WAIPIGA FULHAM 2-1 NA KUREJEA KILELENI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top