• HABARI MPYA

  Jumanne, Januari 26, 2021

  SIMBA SC YASAJILI BEKI MPYA MZIMBABWE PETER MADUHWA KUTOKA HIGHLANDERS YA BULAWAYO


  BEKI wa kimataifa wa Zimbabwe, Peter Muduhwa amejiunga na Simba SC kutoka Highlanders FC ya kwao, Bulawayo kuimarisha kikosi cha Wekundu wa Msimbazi kabla ya kuanza kwa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC YASAJILI BEKI MPYA MZIMBABWE PETER MADUHWA KUTOKA HIGHLANDERS YA BULAWAYO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top