• HABARI MPYA

  Jumatano, Januari 27, 2021

  IBRAHIMOVIC AGOMBANA NA LUKAKU, INTER YAIPIGA MILAN 2-1


  ZLATAN Ibrahimovic wa AC Milan jana alitolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 58 baada ya kugombana na mchezaji mwenzake wa zamani wa Manchester United, Mbelgiji Romelu Lukaku wa Inter Milan.
  Inter Milan imeshinda 2-1 Uwanja wa Giuseppe Meazza katika Robo Fainali ya Coppa Italia mabao yake yakifungwa na Lukaku kwa penalti dakika ya 71 na Christian Eriksen dakika ya 90 na ushei, baada ya Ibrahimović kuwatangulzia wageni dakika ya 31 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: IBRAHIMOVIC AGOMBANA NA LUKAKU, INTER YAIPIGA MILAN 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top