• HABARI MPYA

  Jumanne, Januari 19, 2021

  SAMATTA APIGA LA PILI FENERBAHCE YAICHAPA ANKARUGUCU 3-1 LIGI YA UTURUKI


  NAHODHA wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta jana ametunga bao la pili katika ushindi wa 3-1 wa Fenerbahce dhidi ya Ankaragucu kwenye mchezo wa nyumbani wa Ligi Kuu ya Uturuki.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SAMATTA APIGA LA PILI FENERBAHCE YAICHAPA ANKARUGUCU 3-1 LIGI YA UTURUKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top