SAMATTA AENDELEZA MOTO WA MABAO FENERBAHCE YASHINDA 3-0 LIGI YA UTURUKI
MSHAMBULIAJI Mtanzania, Mbwana Ally Samatta jana amefunga bao la pili dakika ya 51, timu yake Fenerbahce ikiibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Kayserispor katika mchezo wa Ligi Kuu ya Uturuki. Mabao mengine yamefungwa na Mame Baba Thiam dakika ya 20 na Papiss Demba Cisse.
0 comments:
Post a Comment