• HABARI MPYA

  Monday, January 18, 2021

  MESSI ATOLEWA KWA KADI NYEKUNDU BARCA YAPIGWA 3-2


  Nahodha wa Barcelona, Lionel Messi akitolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 120 baada ya kumpiga Asier Villalibre wa Athletic Bilbao katika fainali ya Super Cup ya Hispania jana Uwanja wa Olimpico de Sevilla. 
  Hii ni mara ya kwanza kabisa Messi anatolewa kwa kadi nyekundu katika klabu, Bilbao ikiibuka na ushindi wa 3-2 baada ya sare ya 2-2 dakika 90. Mabao ya Bilbao yalifungwa na De Marcos dakika ya 42, Asier Villalibre dakika ya 90 na Williams dakika ya 93, wakati ya Barcelona yalifungwa na Antoine Griezmann dakika ya 40 na 77 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI ATOLEWA KWA KADI NYEKUNDU BARCA YAPIGWA 3-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top