• HABARI MPYA

  Jumamosi, Januari 30, 2021

  PRINCE DUBE MPUMELELO APIGA MBILI AZAM FC YAICHAPA KMC 3-1 MECHI YA KIRAFIKI CHAMAZI


  AZAM FC imeibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya KMC katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
  Mabao ya Azam FC leo yamefungwa na mshambuliaji Mzimbabwe, Prince Dube mawili na kiungo mzawa, Mudathir Yahya moja, wakati la KMC limefungwa na Lusajo Mwaikenda kwa penalti.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: PRINCE DUBE MPUMELELO APIGA MBILI AZAM FC YAICHAPA KMC 3-1 MECHI YA KIRAFIKI CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top