• HABARI MPYA

  Wednesday, January 27, 2021

  AFISA HABARI WA YANGA SC, HASSAN BUMBULI AFUNGIWA MIAKA MITATU KUJIBUSISHA NA SOKA NDANI NA NJE YA NCHI  AFISA Habari wa klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli amefungiwa kujishughulisha na soka ndani na nje ya nchi kwa kipindi cha miaka mitatu kwa tuhuma za kutotii uamuzi wa Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AFISA HABARI WA YANGA SC, HASSAN BUMBULI AFUNGIWA MIAKA MITATU KUJIBUSISHA NA SOKA NDANI NA NJE YA NCHI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top