• HABARI MPYA

  Saturday, January 16, 2021

  SIMBA SC YAMSAJILI WINGA HATARI MZIMBABWE, PERFECT CHIKWENDE KUTOKA FC PLATINUM YA BULAWAYO

  KLABU ya Simba SC imemtambulisha winga Mzimbabwe, Perfect Chikwende kama mchezaji wake mpya kutoka FC Platinum ya Bulawayo nchini Zimbabwe.

  Huyo anakuwa mchezaji mpya wa pili tu Simba SC katika dirisha hili dogo, baada ya kiungo Mganda, Thadeo Lwanga.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC YAMSAJILI WINGA HATARI MZIMBABWE, PERFECT CHIKWENDE KUTOKA FC PLATINUM YA BULAWAYO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top