• HABARI MPYA

  Jumatatu, Januari 11, 2021

  RONALDO APIGA BONGE LA BAO JUVENTUS YASHINDA 3-1 SERIE A


  MABAO ya kipindi cha pili ya Danilo, Aaron Ramsey na Cristiano Ronaldo jana yaliipa Juventus ushindi wa 3-1 dhidi ya Sassuolo waliomaliza 10 kwenye mchezo wa Serie A jana.
  Pamoja na ushindi huo, Juventus wanabaki nafasi ya nne na pointi zao 33, wakizidiwa saba na vinara AC Milan 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RONALDO APIGA BONGE LA BAO JUVENTUS YASHINDA 3-1 SERIE A Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top