• HABARI MPYA

  Jumatano, Januari 13, 2021

  MAN UNITED YAPANDA KILELENI ENGLAND BAADA YA KUIPIGA BURNLEY 1-0


  BAO pekee la Paul Pogba dakika ya 71 jana lilitosha kuipa Manchester United FC ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Burnley FC jana Uwanja wa Turf Moor.
  Kwa ushindi huo, Man United inafikisha pointi 36 na sasa inaongoza Ligi Kuu kwa pointi tatu zaidi ya mabingwa watetezi, Liverpool baada ya timu zote kucheza mechi 17
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN UNITED YAPANDA KILELENI ENGLAND BAADA YA KUIPIGA BURNLEY 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top