• HABARI MPYA

  Jumamosi, Januari 09, 2021

  'KAPTENI' JUMA KASEJA ALIVYOWAKABIDHI JEZI ZA TAIFA STARS MAWAZIRI WA MICHEZO MAZOEZINI JANA

  Nahodha Msaidizi wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Juma Kaseja akimkabidhi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa jezi ya timu hiyo baada ya mazoezi ya jana kujiandaa na mchezo wa kirafiki wa Kimataifa dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Jumanne Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam

  Nahodha Msaidizi wa Taifa Stars, Juma Kaseja akimkabidhi Naibu Waziri, Abdallah Ulega jezi ya timu hiyo baada ya mazoezi ya jana Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: 'KAPTENI' JUMA KASEJA ALIVYOWAKABIDHI JEZI ZA TAIFA STARS MAWAZIRI WA MICHEZO MAZOEZINI JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top