• HABARI MPYA

  Jumatano, Januari 27, 2021

  YANGA SC YAMTAMBULISHA RASMI NIZAR KHALFAN SAMBAMBA NA KOCHA MPYA WA MAZOEZI YA VIUNGO

  KLABU ya Yanga imemtambulisha Edem Mortotsi kuwa kocha wake mpya wa mazoezi ya viungo.  Pia imemtambulisha rasmi mchezaji wake wa zamani, Nizar Khalfan kuwa Kocha mpya Msaidizi

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC YAMTAMBULISHA RASMI NIZAR KHALFAN SAMBAMBA NA KOCHA MPYA WA MAZOEZI YA VIUNGO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top