• HABARI MPYA

  Alhamisi, Januari 21, 2021

  BERNARDO SILVA AFUNGA MAN CITY WAICHAPA ASTON VILLA 2-0 ETIHAD


  MABAO ya Bernardo Silva dakika ya 79 na Ilkay Gundogan dakika ya 90 kwa penalti jana yaliipa Manchester City ushindi wa 2-0 dhidi ya Aston Villa kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad.
  Manchester City wanafikisha pointi 38 baada ya kucheza mechi 18 na kuendelea kukaa nafasi ya pili nyuma ya mahasimu wao wa Jiji, Manchester United ambao wana pointi 40 za mechi 19 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BERNARDO SILVA AFUNGA MAN CITY WAICHAPA ASTON VILLA 2-0 ETIHAD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top