• HABARI MPYA

  Monday, January 25, 2021

  TAMMY ABRAHAM APIGA HAT TRICK CHELSEA YASHINDA 3-1


  CHELSEA imetinga Hatua ya 16
  Bora Kombe la FA England baada ya ushindi wa 2-1 dhidi Luton Town jana Uwanja Stamford Bridge Jijini London.
  Mabao ya Chelsea jana yote yalifungea na Tammy Abraham dakika ya 11, 17 na 74, wakati bao pekee la Luton Town lilifungwa na Jordan Clark dakika ya 30.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TAMMY ABRAHAM APIGA HAT TRICK CHELSEA YASHINDA 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top