• HABARI MPYA

  Friday, January 29, 2021

  MCHEZAJI MPYA WA YANGA SC, FISTON ABDUL RAZAK ALIVYOWASILI LEO DAR BAADA YA KUSAINI MKATABA WA MIEZI SITA


  KIUNGO mshambuliaji wa kimataifa wa Burundi, Fiston Abdul Razak baada ya kuwasili Dar es Salaam leo kujiunga na klabu ya Yanga kufuatia kusaini mkataba wa miezi sita.
  Huyo ni mchezaji mpya wa tatu tu kusajili Yanga SC dirisha dogo baada ya Mrundi mwenzake, Said Ntibanzokiza na beki mzawa. Dickson Job kutoka Mtibwa Sugar ya Morogoro.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MCHEZAJI MPYA WA YANGA SC, FISTON ABDUL RAZAK ALIVYOWASILI LEO DAR BAADA YA KUSAINI MKATABA WA MIEZI SITA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top