• HABARI MPYA

  Ijumaa, Januari 15, 2021

  PRINCE DUBE MPUMELELO AREJEA KAZINI AZAM FC BAADA YA KUKOSEKANA TANGU NOVEMBA MWAKA JANA


  Mshambuliaji Mzimbabwe, Prince Dube Mpumelelo leo amecheza Azam FC ikiibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Malindi SC katika mchezo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa Mao Dze Tungu, Zanzibar, hiyo ikiwa mechi yake ya kwanza tangu aumie Novemba 25 mwaka jana kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Yanga SC 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: PRINCE DUBE MPUMELELO AREJEA KAZINI AZAM FC BAADA YA KUKOSEKANA TANGU NOVEMBA MWAKA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top