• HABARI MPYA

  Jumatatu, Januari 25, 2021

  TANZANIA YAPANGWA KUNDI B AFCON U20 PAMOJA NA GAMBIA, MOROOCO NA GHANA  TANZANIA imepangwa Kundi C pamoja na Ghana, Gambia na Morocco katika Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika chini ya umri wa miaka 20 (AFCON U20) zitakazofanyika Mauritania kuanzia Februari 14 hadi Machi 4, mwaka huu. 
  Na itafungua dimba na Ghana Februari 16, kabla ya kumenyana na Gambia Februari 19 na kukamilisha mechi zake za kundi hilo kwa kumenyana na Morocco Februari 22.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TANZANIA YAPANGWA KUNDI B AFCON U20 PAMOJA NA GAMBIA, MOROOCO NA GHANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top