• HABARI MPYA

  Sunday, January 10, 2021

  MILAN YAICHAPA TORINO 2-0 NA KUENDELEA KUONGOZA SERIE A


  MABAO ya kipindi cha kwanza ya Rafael Leao na Franck Kessie jana yaliipa AC Milan ushindi wa 2-0 dhidi ya Torino kwenye mchezo wa Serie A Uwanja wa Giuseppe Meazza, Milan.
  Ushindi huo unaifanya Milan iendelee kuongoza Serie A kwa pointi nne zaidi ya mahasimu wao wa Jiji, Inter Milan (40-36), ambao leo wanamenyana na Roma kufikisha mechi 17 pia 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MILAN YAICHAPA TORINO 2-0 NA KUENDELEA KUONGOZA SERIE A Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top