• HABARI MPYA

  Jumapili, Januari 10, 2021

  MESSI APIGA MBILI BARCELONA YAICHAPA GRANADA 4-0 LA LIGA


  MUARGENTINA Lionel Messi jana amefunga mabao mawili dakika za 35 na 42 kuiwezesha Barcelona kushinda 4-0 dhidi ya wenyeji, Granada Uwanja wa Nuevo Los Cármenes kwenye mchezowa La Liga, mabao mengine yakifungwa na Antoine Griezmann dakika ya 12 na 63.
  Sasa Barcelona inazidiwa pointi tatu na mahasimu wao, Real Madrid (37-34) baada ya wote kucheza mechi 18 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MESSI APIGA MBILI BARCELONA YAICHAPA GRANADA 4-0 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top