• HABARI MPYA

  Jumatano, Januari 27, 2021

  ARSENAL YATOKA NYUMA NA KUICHAPA SOUTHAMPTON 3-1


  TIMU ya Arsenal jana imetoka nyuma kwa bao la Stuart Armstrong na kushinda 3-1 dhidi ya wenyeji, Southampton, mabao yake yakifungwa na Nicolas Pepe, Bukayo Saka na Alexandre Lacazette Uwanja wa St. Mary's.
  Sasa Arsenal sasa imefikisha pointi 30 baada ya kucheza mechi 20 na kusogea nafasi ya nane, ikiwa inazidiwa pointi nne na mabingwa watetezi, Liverpool wanaoshika nafasi ya tano, ingawa wamecheza mechi 19 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL YATOKA NYUMA NA KUICHAPA SOUTHAMPTON 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top