• HABARI MPYA

  Ijumaa, Januari 15, 2021

  UMATI WA MASHABIKI ULIOJITOKEZA KUWAPOKEA WACHEZAJI WA YANGA NA KOMBE LA MAPINDUZI LEO DAR

  UMATI wa mashabiki wa Yanga SC uliojitokeza Bandari ya Azam Marine, Dar es Salaam kuwapokea wachezaji wao baada ya kutwaa ubingwa wa Kombe la Mapinduzi juzi wakiwafunga watani wao jadi, Simba SC kwa penalti 4-3 kufuatia sare ya 0-0 Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
  Mashabiki wa Yanga SC waliojitokeza kuipokea timu yao leo Jijini Dar es Salaam
  Wachezaji wa Yanga baada ya kuwasili Dar es Saklaam na Kombe lao la Mapinduzi leo


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: UMATI WA MASHABIKI ULIOJITOKEZA KUWAPOKEA WACHEZAJI WA YANGA NA KOMBE LA MAPINDUZI LEO DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top