• HABARI MPYA

  Wednesday, January 20, 2021

  LEICESTER CITY YAICHAPA CHELSEA 2-0 LIGI KUU YA ENGLAND


  MABAO ya Wilfred Ndidi dakika ya sita na James Maddison dakika ya 41 jana yaliipa Leicester City ushindi wa 2-0 dhidi ya Chelsea kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa King Power.
  Kwa ushindi huo, Leicester City inafikisha pointi 38 baada ya kucheza mechi 19 na kuendelea kuongoza Ligi Kuu ya England kwa pointi moja zaidi ya Manchester United iliyocheza mechi 18 ambayo leo inaifuata Fulham
   


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LEICESTER CITY YAICHAPA CHELSEA 2-0 LIGI KUU YA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top