• HABARI MPYA

  Ijumaa, Januari 15, 2021

  REAL MADRID YATUPWA NJE MICHUANO YA SUPER CUP HISPANIA


  MABINGWA watetezi, Real Madrid jana wametupwa nje ya Spanish Super Cup baada ya kuchapwa 2-1 na Athletic Bilbao katika Nusu ya Kombe hilo Uwanja wa La Rosaleda.
  Mabao ya Athletic Club Bilbao jana yalifungwa na Raul Garcia yote dakika ya 18 akimalizia pasi ya Dani García na dakika ya 38 kwa penalty, wakati la Real Madrid lilifungwa na Karim Benzema dakika ya 73.
  Sasa Bilbao itakutana na Barcelon ambayo juzi ilitangulia fainali kwa ushindi wa penalti 3-2 baada ya sare ya 1-1 na Real Sociedad Uwanja wa Nuevo Arcangel
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: REAL MADRID YATUPWA NJE MICHUANO YA SUPER CUP HISPANIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top