• HABARI MPYA

  Sunday, January 24, 2021

  SIMBA SC YAMTAMBULISHA DIDIER GOMES DA ROSA KUWA KOCHA WAKE MPYA


  Mtendaji Mkuu wa Simba SC, Barbara Gonzalez akimkabadhi jezi Kocha Mkuu mpya, Mfaransa Didier Gomes Da Rosa baada ya kusaini mkataba leo hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC YAMTAMBULISHA DIDIER GOMES DA ROSA KUWA KOCHA WAKE MPYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top