• HABARI MPYA

  Jumapili, Januari 31, 2021

  MAN CITY YAICHAPA SHEFFIELD 1-0 NA KUZIDI KUPAA KILELENI ENGLAND


  BAO pekee la Gabriel Jesus dakika ya tisa akimalizia pasi ya Ferran Torres, jana liliipa ushindi wa 1-0 Manchester City dhidi ya Sheffield United FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad.
  Kwa ushindi huo, Man City inafikisha pointi 44 baada ya kucheza mechi 20, sasa wakiongoza Ligi Kuu kwa pointi nne zaidi ya mahasimu wao wa Jiji, Manchester United waliotoa sare ya 0-0 na Arsenal jana Uwanja wa Emirates katika mechi yao ya 21
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN CITY YAICHAPA SHEFFIELD 1-0 NA KUZIDI KUPAA KILELENI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top