• HABARI MPYA

  Alhamisi, Januari 14, 2021

  MAN CITY YAICHAPA BRIGHTON 1-0 NA KUREJEA TATU BORA ENGLAND

  BAO pekee la Phil Foden dakika ya 44 jana limeipa Manchester City ushindi wa 1-0 dhidi ya Brighton & Hove Albion kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad, siku ambayo Raheem Sterling alikosa penalti mwishoni.
  Man City inafikisha pointi 32 baada ya mechi 16 na kusogea nafasi ya tatu, ikizidiwa pointi moja na mabingwa watetezi, Liverpool waliocheza mechi 17, wote wakiwa nyuma ya Manchester United inayoongoza kwa pointi zake 36 za mechi 17 pia
     • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN CITY YAICHAPA BRIGHTON 1-0 NA KUREJEA TATU BORA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top