• HABARI MPYA

  Ijumaa, Januari 15, 2021

  KIKOSI CHA TAIFA STARS KILIVYOWASILI JANA MJINI LIMBE TAYARI KWA FAINALI ZA CHAN 2021 CAMEROON

  KIPA mkongwe wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars baada ya kuwasili mjini Limbe, Cameroon jana tayari kushiriki Fainali za Michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) zinazotarajiwa kuanza Jumamosi hadi Februari 7, 2021.

  Taifa Stars iliyopangwa Kundi D, itafungua dimba na Zambia Januari 19, yaani Jumanne ijayo Uwanja wa Limbe kabla ya kumenyana na Namibia Januari 23 na kumaliza na Guinea Uwanja wa Reunification, Douala Januari 27.

  KUNDI A: Cameroon, Mali, Burkina Faso, Zimbabwe | KUNDI B: Libya, DRC, Kongo, Niger | KUNDI C: Morocco, Rwanda, Uganda, Togo | KUNDI D: Tanzania, Zambia, Guinea, Namibia.   • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KIKOSI CHA TAIFA STARS KILIVYOWASILI JANA MJINI LIMBE TAYARI KWA FAINALI ZA CHAN 2021 CAMEROON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top