• HABARI MPYA

  Ijumaa, Januari 08, 2021

  NTIBANZONKIZA MCHEZAJI BORA, KAZE KOCHA BORA LIGI KUU DESEMBA, MWAMNYETO AFIWA NA MKEWE


  MCHEZAJI mpya wa Yanga SC, Mrundi Saidi Ntibazonkiza amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara mwezi Desemba msimu huu wa 2020/2021.

  Mrundi mwenzake, Cedric Kaze amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara mwezi Desemba msimu huu wa 2020/2021.

  Habari mbaya kwa Yanga SC ni kwamba, beki wao Bakari Nondo Mwamnyeto amefiwa na mkewe.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NTIBANZONKIZA MCHEZAJI BORA, KAZE KOCHA BORA LIGI KUU DESEMBA, MWAMNYETO AFIWA NA MKEWE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top