• HABARI MPYA

  Thursday, December 31, 2020

  WABUNGE WA ZAMANI NA WA SASA WAGONGANA KUWANIA UENYEKITI WA KLABU YA SIMBA SC FEBRUARI 7

  WABUNGE wa sasa na wa zamani wamejitokeza kuwania nafasi ya Uenyekiti wa klabu ya Simba SC Februari 7, mwakani.  
  Hao ni Mbunge wa zamani wa jimbo la Chemba, Juma Suleiman Nkamia, Mbunge wa zamani wa Kilwa, Murtaza Ally Manungu na Mbunge wa sasa, Rashid Abdallah Shangazi wa jimbo la Mlalo, Lushoto mkoani Tanga.
  Pamoja na hao wagombea wengine hadi sasa ni Bittony Innocent Mkwakisu na Khamis Omar Mtika.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WABUNGE WA ZAMANI NA WA SASA WAGONGANA KUWANIA UENYEKITI WA KLABU YA SIMBA SC FEBRUARI 7 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top