• HABARI MPYA

  Ijumaa, Januari 08, 2021

  YANGA SC YAICHAPA NAMUNGO FC 1-0 NA KUBISHA HODI NUSU FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI ZANZIBAR

  BAO pekee la kiungo Zawadi Mauya dakika ya 25 leo limeipa Yanga SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa Kundi A Kombe la Mapinduzi Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
  Kwa ushindi huo, Yanga SC inafikisha pointi nne baada ya kucheza mechi mbili na sasa inaongoza Kundi A ikiwa imejiweka kwenye nafasi nzuri ya kwenda Nusu Fainali.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC YAICHAPA NAMUNGO FC 1-0 NA KUBISHA HODI NUSU FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top