• HABARI MPYA

  Jumamosi, Januari 23, 2021

  ARSENAL YAPIGWA 1-0 NA SOUTHAMPTON NA KUTUPWA NJE KOMBE LA FA


  BAO la kujifunga la Gabriel Magalhães dakika ya 24 limeipa Southampton ushindi wa 1-0 dhidi ya Arsenal FC katika mchezo wa Raundi ya Nne Kombe la FA England leo Uwanja wa St. Mary's
     • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL YAPIGWA 1-0 NA SOUTHAMPTON NA KUTUPWA NJE KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top