TAIFA STARS WAKIJIFUA KUJIANDAA KUIVAA GUINEA MECHI YA MWISHO KUNDI D CHAN 2021
WACHEZAJI wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiwa mazoezini kujiandaa na mchezo wa mwisho wa Kundi D Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) dhidi ya Guinea Jumatano Jijini Douala, Cameroon.
0 comments:
Post a Comment