• HABARI MPYA

  Jumanne, Januari 19, 2021

  ZLATAN APIGA ZOTE AC MILAN YASHINDA 2-0 NA KUPAA KILELENI


  MKONGWE Zlatan Ibrahimovic jana amefunga mabao yote mawili dakika ya saba kwa penalti na 52, AC Milan ikiichapa Cagliari 2-0 katika mchezo wa Serie A Uwanja wa Sardegna Arena, Cagliari.
  Sasa AC Milan inafikisha pointi 43 na kuendelea kuongoza Serie A  kwa pointi tatu zaidi ya mahasimu wao wa Jiji, Inter Milan (43-40) baada ya wote kuchezsa mechi 18
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ZLATAN APIGA ZOTE AC MILAN YASHINDA 2-0 NA KUPAA KILELENI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top