• HABARI MPYA

  Thursday, January 21, 2021

  RONALDO SASA NDIYE MFUNGAJI BORA WA MUDA WOTE DUNIANI


  MRENO Cristiano Ronaldo sasa ndiye mfungaji bora wa muda wote duniani baada ya jana kuifungia bao la kwanza Juventus ikiibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Napoli katika Super Cup ya Italia – bao la pili likifungwa na Alvaro Morata Uwanja wa MAPEI.
  Ronaldo sasa amefikisha mabao 760 na kumpiku Josef Bican – aliyechezea Austria na Czech ambaye alifunga 759 kati ya 1931 na1955 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO SASA NDIYE MFUNGAJI BORA WA MUDA WOTE DUNIANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top