• HABARI MPYA

  Jumatatu, Januari 11, 2021

  MAN CITY YASHINDA 3-0 NA KUSONGA MBELE KOMBE LA FA ENGLAND


  NA mabao ya kipindi cha kwanza ya Bernardo Silva mawili na Phil Foden yaliipa mushindi wa 3-0 Manchester City dhidi ya Birmingham City katika mchezo wa raundi ya Nne Kombe la FA England Uwanja wa Etihad jana
   PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN CITY YASHINDA 3-0 NA KUSONGA MBELE KOMBE LA FA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top