• HABARI MPYA

  Friday, January 22, 2021

  LIVERPOOL YAFUNGWA MARA YA KWANZA NYUMBANI BAADA MECHI 68


  BAO pekee la penalti la Ashley Luke Barnes dakika ya 83 jana lilitosha kuwapa Burnley ushindi wa 1-0 dhidi ya Liverpool kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Anfield. 
  Hicho ni kipigo kwanza kwa Wekundu hao Anfield baada ya mabingwa hao kucheza mechi 68 bila kufungwa nyumbani kwenye Ligi Kuu jana.
  Sasa Liverpool inazidiwa pointi sita na vinara Manchester United (40-34) baada ya wote kucheza mechi 19 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAFUNGWA MARA YA KWANZA NYUMBANI BAADA MECHI 68 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top