• HABARI MPYA

  Friday, January 22, 2021

  SIMBA SC KUMENYANA NA TP MAZEMBE NA AL HILAL YA SUDAN KATIKA MICHUANO MAALUM DAR

  SIMBA SC inatarajiwa kumenyana na Al Hilal ya Sudan na TP Mazembe ya DRC katika michuano maalum ya Simba Super Cup itakayoanza Jumatano ijayo Uwanja wa Benjamin Mkapa.
  Wageni watawasili Jumanne na timu zote zipo katika hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa na zipo Kundi B pamoja na Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini na CR Belouizdad Algeria, wakati Simba ipo Kundi A na Al Ahly ya Misri, AS Vita ya DRC na El Merreikh ya Sudan.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC KUMENYANA NA TP MAZEMBE NA AL HILAL YA SUDAN KATIKA MICHUANO MAALUM DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top