• HABARI MPYA

  Jumanne, Januari 12, 2021

  WAZIRI BASHUNGWA AMKABIDHI ZAWADI YA SH MILIONI TANO BEKI MSTAAFU TAIFA STARS, AGGREY MORRIS


  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bushungwa akimkabidhi Aggrey Morris mfano wa hundi ya Sh. Milioni 5 kama sehemu ya zawadi za beki huyo aliyestaafu kuchezea timu ya taifa leo baafa ya kuitumikia tangu 2009. Zoezi hilo lilifanyika leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam kabla ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) uliomalizika kwa sare ya 1-1
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WAZIRI BASHUNGWA AMKABIDHI ZAWADI YA SH MILIONI TANO BEKI MSTAAFU TAIFA STARS, AGGREY MORRIS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top