• HABARI MPYA

  Ijumaa, Januari 29, 2021

  CARLOS CARLINHOS ANAVYOREJEA YANGA SC KAMA MPYA KUONGEZA NGUVU LALA SALAMA LIGI KUU

  KIUNGO Muangola, Carlos Stenio Fernandes Guimaraes do Carmo, maarufu Carlinhos akiwa mazoezini na timu yake, Yanga SC kwenye kambi yao, Avic Centre, Kigamboni nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam baada ya kuwa nje kwa maumivu tangu Novemba

  Carlinhos nyuma kabisa kulia akiwa  Yanga SC kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CARLOS CARLINHOS ANAVYOREJEA YANGA SC KAMA MPYA KUONGEZA NGUVU LALA SALAMA LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top