• HABARI MPYA

  Jumapili, Januari 24, 2021

  MAN CITY YASHINDA 3-1 NA KUSONGA MBELE KOMBE LA FA ENGLAND


  TIMU ya Manchester City jana ilitoka nyuma kwa bao la Alfie May dakika ya 59 na kushinda 3-1 dhidi ya timu ya Daraja la Tatu, Cheltenham Town mabao yake yakifungwa na P. Foden dakika ya 81, Gabriel Jesus dakika ya 84 na Ferran Torres dakika ya 90 na ushei na kutinga Raundi ya Tano Kombe la FA England
   PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN CITY YASHINDA 3-1 NA KUSONGA MBELE KOMBE LA FA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top