• HABARI MPYA

  Tuesday, January 19, 2021

  AUBAMEYANG APIGA MBILI, ARSENAL YAICHAPA NEWCASTLE 3-0


  MSHAMBULIAJI Pierre-Emerick Aubameyang jana amefunga mabao mawili dakika za 50 na 77 na  Bukayo Saka akaongeza moja dakika ya 60, Arsenal ikiichapa Newcastle United 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates.
  Arsenal inafikisha pointi 27 baada ya ushindi wa jana kwenye mchezo wa 19 wa msimu, ingawa inabaki nafasi ya 10, wakati Newcastle United inabaki na pointi zake 19 za mechi 18 sasa katika nafasi ya 15
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AUBAMEYANG APIGA MBILI, ARSENAL YAICHAPA NEWCASTLE 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top