• HABARI MPYA

  Jumamosi, Januari 30, 2021

  SIMBA SC KUMENYANA NA DODOMA JIJI FEBRUARI 2 JAMHURI KABLA YA KUWAVAA AZAM FC FEBRUARI 7 DAR VIPORO VYA LIGI KUU


  MABINGWA watetezi, Simba SC watamenyana na Dodoma FC Februari 2 Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma kabla ya kuwavaa Azam FC Februari 7, mwaka huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam katika mechi zao mbili za viporo za Ligi Kui ya Tanzania Bara.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC KUMENYANA NA DODOMA JIJI FEBRUARI 2 JAMHURI KABLA YA KUWAVAA AZAM FC FEBRUARI 7 DAR VIPORO VYA LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top