KMKM WAIFUNDISHA MCHEZO WA KANDANDA AZAM FC, WAITANDIKA 2-0 MECHI YA KIRAFIKI LEO ZANZIBAR
MABAO ya Matheo Anthony Simon dakika ya saba na Mohammed Said Mohamed dakika ya 22 leo yameipa KMKM ushindi wa 2-0 dhidi ya Azam FC kwenye mchezo wa kirafiki Uwanja wa Mao Dze Tung, Zanzibar leo
0 comments:
Post a Comment