• HABARI MPYA

  Monday, January 25, 2021

  TRESSOR MPUTU NA THOMAS ULIMWENGU WAJA DAR KUSHIRIKI SUPER CUP YA SIMBA SC


  KIKOSI kamili cha TP Mazembe kitakachokuja nchini kushiriki michuano ya Simba Super Cup inayotarajiwa kuanza Jumatano kikiongozwa na Mkongwe Tresor Mabi Mputu na mshambuliaji Mtanzania, Thomas Ulimwengu. Mazembe inatarajiwa msafara huo kuwasili Jumatano.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TRESSOR MPUTU NA THOMAS ULIMWENGU WAJA DAR KUSHIRIKI SUPER CUP YA SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top