• HABARI MPYA

  Friday, January 15, 2021

  AZAM FC YAWACHAPA MALINDI SC 2-0 KATIKA MECHI YA KIRAFIKI LEO ZANZIBAR MABAO YA IDDI 'NADO' NA MUDATHIR  MABAO ya viungo Iddi Suleiman Ally 'Nado' dakika ya 37 na Mudathir Yahya Abbas dakika ya 45 jioni ya leo yameipa Azam FC ushindi wa 2-0 dhidi ya Malindi SC katika mchezo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa Mao Dze Tungu, Zanzibar

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC YAWACHAPA MALINDI SC 2-0 KATIKA MECHI YA KIRAFIKI LEO ZANZIBAR MABAO YA IDDI 'NADO' NA MUDATHIR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top