• HABARI MPYA

  Wednesday, January 20, 2021

  AZAM FC YANG'ARA UNGUJA, YAWACHAPA KOMBAINI YA ZANZIBAR 2-1MECHI YA KIRAFIKI UWANJA WA AMAAN

  AZAM FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Kombaini ya Zanzibar katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Amaan, Zanzibar usiku wa leo. 
  Mabao ya Azam FC yamefungwa na kiungo mzawa Iddi Suleiman 'Nado' dakika ya 18 na mshambuliaji Mzimbabwe, Prince Dube Mpumelelo dakika ya 76, wakati la Kombaini ya Zanzibar limefungwa na Mudhihir Vuai dakika ya 13.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC YANG'ARA UNGUJA, YAWACHAPA KOMBAINI YA ZANZIBAR 2-1MECHI YA KIRAFIKI UWANJA WA AMAAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top